Insha ya risala

Insha ya risala

Insha ya risala na maana yake.Risala ni ujumbe au taarifa inayoandikwa na mtu au kundi ili upelekwe kwa mtu fulani kwa lengo la kutoa maoni yao au kuonyesha msimamo wao kuhusu swala fulani. Risala inaweza pia tolewa kama hutuba mbele ya kiongozi kwa niaba ya kundi fulani la watu. Muundo wa Risala. 1.    Anwani. –         Risala mara…

Vitanza ndimi sifa na umuhimu zake.

Vitanza ndimi sifa na umuhimu zake.

Vitanza ndimi sifa na umihimu wa vitanza ndimi.

 

Ni maneno yanayotanganza wakati wakutamka hii ni kwasababu ya matamshi ya maneno yanayo karibiana mno. K.m –

1.Shirika la reli ya rwanda.

2.Libirigala bigiri bigiri ni la abiria wengi.

3.Kukosa si kosa kosa ni kurudia kosa.

 

Sifa za vitanza ndimi.

–         Ni sentensi zinazobeba maana kamili, hutumia maneno ya lugha sanifu. Sauti zinazotumiwa ni za kawaida ila inatumiwa sana katika maisha.

–         Huimarisha stadi ya matamshi.

–         Hujenga stadi ya umakinifu.

–         Huifurahisha wanajamii.

–         Hufikirisha wanajamii.

–         Ni njia moja ya kujenga vijan ili kusuma wasemaji hodari/walumbi wa baadaye.

 

Tanakali za sauti/onamatopea.

–         Ni miigo ya milio au sauti za vitu, vitendo fulani k.m jiwe lilianguka majini chubwi!

 

Umuhimu wa tanakali za sauti.

–         Huleta dhana ya kusisitiza katika semi fulani.

–         Hujenga picha ya kitendo kinachofanyika.

–         Ni njia ya mojawapo ya kuwafanya watoto kujifahamisha mazingira yao.

–         Ni mojawapo njia za kujifahamishia lugha.

 

Insha ya harusi

Insha ya harusi

Insha ya harusi. Tuliamka alfajiri yamajogoo tayari kwa safari tuliyoingojea kwa siku nyingi. Tulijitayarisha kwa haraka ili tusichelewe kuenda kumlaki dada yangu katika eneo la harusi katika mbio mbio za sakafuni, tulipatana na wenzetu njiani, tulichukua gari na kuondoka. Tulikuwa karibu kuwasili eneo la harusi yenye ilikuwa katika kanisa la shauri moyo Adventist church ambayo…