Nilivaa nguo zangu nikinywa chai kwa mkate iliyokuwa tamu kama asali. Nilipomaliza, nilianza safari kwenda shuleni. Siku hiyo ilikuwa siku ya mwisho ya muhula wa kwanza. Nilipofika shuleni wazazi walikaribishwa na kuketi kwa viti vilivyokuwa nyeusi tititi.
Tag: #kcse

Kuandaliwa kwa siku yenyewe kulikuwa kumeshakamilika na sikuamini itafanyika. Hivi ndio siku ilianza kwangu. Nilirauka raurau kabla ya bwana shamzi kupasua matlai yake. Nilienda hamamuni kucheza mchezo wa bata.

Insha ya memo. memo ni mkata wa neno memoranda lenye maana ya maandiko ya kukumbusha habari. Memo ni barua fupi rasmi ambayo hutumiwa katika mawasiliano baina ya watu mbalimbali hasa wafanyikazi mbalimbali kuwasababu kama vile:

Insha ya ripoti. Ni maelezo kuhusu myu, kitu au tukio. Huandikwa ili kuweka wazi mada husika kwa minajili ya kuwawezesha washikadau huchukua hatua.

Insha ya risala na maana yake.Risala ni ujumbe au taarifa inayoandikwa na mtu au kundi ili upelekwe kwa mtu fulani kwa lengo la kutoa maoni

Insha ya wasifu kazi. Insha ya wasifukazi una muundo wake unaofwatiliwa. Mfano wa wasifukazi huundwa hivi. Nitatumia jina la rafiki yangu James andrew.

Insha ya Shajara maana na sifa zake.Shajara ni rekodi ya mambo muhimu yanayotokea kila siku. Shajara inaweza kuwa rasmi au ya kibinafsi. Shajara huandikwa katika kitabu maalum ambacho huwa na nafasi ya kujaza mabao ya kila siku.

Tahadhari – maana yake na sifa zake.Tahadhari ni maelezo yanaoyotolewa ili kufahamisha kuhusu kutokea kwa hali fulani. Hutolewa kueleza hadhari za mbali husika hasa panapokuwa na hatari ya madhara.

Vitendawili ni fungu la maneno linalo na maana fiche mtu hutajika kufikiria ili maana kufumbuliwa.

nyimbo ni maneno yaliyopangwa kimziki.kuna kupanda na kushuka sauti katika mapigo