#kcse

pink background with speech bubble

Insha ya risala

Insha ya risala na maana yake.Risala ni ujumbe au taarifa inayoandikwa na mtu au kundi ili upelekwe kwa mtu fulani kwa lengo la kutoa maoni yao au kuonyesha msimamo wao kuhusu swala fulani. Risala inaweza pia tolewa kama hutuba mbele ya kiongozi kwa niaba ya kundi fulani la watu. Muundo wa Risala. 1.    Anwani. –         Risala mara …

Insha ya risala Read More »

black and white blog business coffee

Insha ya shajara

Insha ya Shajara maana na sifa zake.Shajara ni rekodi ya mambo muhimu yanayotokea  kila siku. Shajara inaweza kuwa rasmi au ya kibinafsi. Shajara huandikwa katika kitabu maalum ambacho huwa na nafasi ya kujaza mabao ya kila siku.

Insha ya harusi

Insha ya harusi. Tuliamka alfajiri yamajogoo tayari kwa safari tuliyoingojea kwa siku nyingi. Tulijitayarisha kwa haraka ili tusichelewe kuenda kumlaki dada yangu katika eneo la harusi katika mbio mbio za sakafuni, tulipatana na wenzetu njiani, tulichukua gari na kuondoka. Tulikuwa karibu kuwasili eneo la harusi yenye ilikuwa katika kanisa la shauri moyo Adventist church ambayo …

Insha ya harusi Read More »

Insha fupi ya ndoto isiyostajika

Ndoto isiyotajika insha mfano. Nilikuwa nimekwisha kujitajarisha kwenda kulala mlango ulipobishwa, nilishtuka na kuketi sakafuni ni kwaza nani aliyekuwa alibisha mlango saa saba unusu usiku. Mtu huyo alibisha kwa nguvu huku akileta jina langu inijaribu kutambua sauti ila lakini wapi. Tulikuwa nyumbani na dada yangu na kaka yangu lakini wao walitwa washalala. Nilifikiria ni waamshe …

Insha fupi ya ndoto isiyostajika Read More »