Mgagaa na upwa hali wali mkavu. Methali hii ina maana kuwa mtu anayejikaza kisabuni hakosi alichokitarajia mtu anapojitahidi katika jambo fulani huwa anapata mazao yake baada ya muda mfupi tu au baada ya muda usiotarajia. Hutumiwa kuhimiza aidha mwanafunzi ilil kutia bidii katika masomo yake ili kufanikiwa.
Tag: #kenya

Hotuba ya mwalimu mkuu shuleni.Kwa naibu wangu, walimu wengine, washikadau waliopo, wazazi na wanafunzi

Insha ya mtaka cha mvunguni sharti ainame.
Methali hii inamaanisha kuwa lazima mtu atie bidii ili apate anachotarajia. Methali hii hutumika mtu anpopanga kuwa kitu fulani au kutenda

Insha ya mahojiano kati ya meneja wa kampuni na mtu anayeomba kazi. Meneja: Karibu ndani. Hujamnbo? Mwajiriwa: Asante. Sijambo. Meneja: Unaitwa nani? Mwajiriwa: Hassan Ali.

methali hii inatuonya kuwa haifai kuandamana na watu wenye tabia mbovu kwani huenda wakatuambukiza you wait na kuharibu tabia zetu nzuri.

Nilikuwa nimekwisha kujitayarishya kuenda kulala mlango ulipobishwa kwa nguvu. Nilijawa na hofu na maswali

Wanafunzi hamjambo?. Nina furahi sana kuona vile mlivyochangamka. siku hii ya leo ningependa tuzungumze juu ya vitu vitakavyotusaidia tufaulu maishani mwenu na pia kwa heshima