Insha ya barua ya kirafiki

Insha ya barua ya kirafiki

uhali gani? Pokea salamu kemkem kutoka kwa familia yako. Wote wanatumai u buheri wa afya. Sisi hapa nyumbani tu wazima kama kigogo. Kila mmoja ana hamu ya kukuona lakini uko mbali na sisi kwa hivyo hilo haliwezekani hata. Natumai unaendelea vyema huku tukikuombea kwa mola akujalie wakati mwema huko kuliko. Natumai pia kazi yako yaendelea vyema.