Insha ya mdokezo
Insha ya mdokezo. Hii ni insha ambayo mwanafunzi huhitajika kuikamilisha. Insha ya mdokezao ni aina mbili. 1. Insha ambayo mwandishi hupewa mdokezo wa utangulizi. 2. insha ambayo tamati yake inadokezwa au Mdokezo wa kwanza , mdokezo wa kumalizia.