Insha fupi ya mkasa wa moto kijijini

Insha fupi ya mkasa wa moto kijijini

Mkasa wa moto kijijini. Ulikuwa usiku wa manane niliposkia usemi wa buka uliotoka kwa jirani kadri kilomita mbili kutoka nyumbani kwetu. Kweli nilikuwa katika gonezi ya ajabu kwani singeskia kitu chochote kile. Hii ilikuwa nadra sana kama maziwa ya kuku ama mizizi ya mawe. Bayana nilikuwa nimechoka kutokana na kazi niliyoifanya siku hiyo. Kwanza nilikejeli…