#nukuu

red volkswagen beetle scale model

50 Nukuu za krismasi na mwezi mpya.

Mwezi huu ni muhimu sana kwa watoto na familia kuwa pamoja na kusherekea siku huu na wapendwa wenzetu na marfiki wetu wa dhati, wanaotujali sana. Zawadi pia unatumika kabla ya siku hiyo. Unaweza kuwa na roho nzuri sana kununukia wapendwa wako zawadi muhimu sana wataotumia kukumbuka. chini yako kuna Nukuu muhimu sana za krismasi unaweza waomyesha wenzako.

white and blue health pill and tablet letter cutout on yellow surface

32 Nukuu za afya yatakusaidia kujiboresha.

Afya ni kitu muhimu katika maisha ya binadamu. Vile tunakula, tunaishi inchangisha afya yetu katika maishani. Tuna nukuu muhimu sana si ya sawhili tu lakini kwa kiingereza ambapo unonyesha umuhimuw wakuwa na afya njema usiwe na magonjwa yanayoweza kuitishia maisha yako.

open book pages on surface

25 nukuu za hekima.

25 nukuu za hekima. Hello na karibu katika kurasa huu wa middemb ambapo leo tutayaona nukuu ishirini na tano ambazo zitakusadia sana maishani mwako na pia za wenzako walio karibu na wewe.

10 Nukuu za chuki.

10 Nukuu za chuki. Karibu katika  pande huu wa middemb ambapo Leo utazipata Nukuu kumi za chuki au kwa kingereza inatajwa quotes of hate. Ikikupendeza mno tafadhali usiogope kuwaonyesha wenzako kurasa yetu ya middemb.