60 sms za kutia moyo. Ili ufaulu
Hasa maisha ya binadamu si rahisi mno. Kwa kweli kila siku bainadamu ana jaribu sana kuhikimu mahitaji zake kila siku. Si rahisi kwa kuwa maisha imwkuwa mgumu mno. Kama vile uchumi yetu kwa mfano yanaweza kera matajo ya watu kwa hali uchumu ikiwa juu, bidhaa zikiwa juu si wote wana uwezo kupata mahitajo yao.