10 Nyimbo za zuchu itakayopendeza.
Zuchu ni miongoni mwa wasanii bora wanaofanya vizuri kwa sasa katika muziki wa Bongo flava, akiuchukua muziki huo kwenye kiwango kipya kabisa. Kipaji chake na upendo wake kwa muziki vimepelekea kupata tuzo ya mwanamuziki anayechipukia vizuri kabisa ambayo hatujawahi kuiona katika tasnia ya muziki.