50 sms za uchungu unaweza vunja moyo.
Si rahisi vile kwa binnadamu kupitia machungu mno hasa kama Amevunjwa moyo na mpenziwe. Pia rafiki anaweza geuka kuwa adui na mambo kama hayo yanatufanya tuwe na huzuni mno. Inaweza kuwa mtu amekukosoa lakini hajafanya jambo nzuri la kuikanya kosa lake kitafuta msamaha.