Kuna misemo nyingi mbalimbali hutumika kama methali ambapo hutusadia kuelewa maisha na kuelewa pia namna za binadamu. Misemi hizi yatulinda sisi ili tuwe sawa katika jambo fulani yeyote. Misemo hizi pia hutumika katika insha kwa kuandika insha yeyote kwa kutumia kama mfano ndi myu aelewe maana zaidi.
Tag: #tanzania

Mgagaa na upwa hali wali mkavu. Methali hii ina maana kuwa mtu anayejikaza kisabuni hakosi alichokitarajia mtu anapojitahidi katika jambo fulani huwa anapata mazao yake baada ya muda mfupi tu au baada ya muda usiotarajia. Hutumiwa kuhimiza aidha mwanafunzi ilil kutia bidii katika masomo yake ili kufanikiwa.