Vitanza ndimi sifa na umuhimu zake.
Vitanza ndimi sifa na umihimu wa vitanza ndimi.
Ni maneno yanayotanganza wakati wakutamka hii ni kwasababu ya matamshi ya maneno yanayo karibiana mno. K.m –
1.Shirika la reli ya rwanda.
2.Libirigala bigiri bigiri ni la abiria wengi.
3.Kukosa si kosa kosa ni kurudia kosa.
Sifa za vitanza ndimi.
– Ni sentensi zinazobeba maana kamili, hutumia maneno ya lugha sanifu. Sauti zinazotumiwa ni za kawaida ila inatumiwa sana katika maisha.
– Huimarisha stadi ya matamshi.
– Hujenga stadi ya umakinifu.
– Huifurahisha wanajamii.
– Hufikirisha wanajamii.
– Ni njia moja ya kujenga vijan ili kusuma wasemaji hodari/walumbi wa baadaye.
Tanakali za sauti/onamatopea.
– Ni miigo ya milio au sauti za vitu, vitendo fulani k.m jiwe lilianguka majini chubwi!
Umuhimu wa tanakali za sauti.
– Huleta dhana ya kusisitiza katika semi fulani.
– Hujenga picha ya kitendo kinachofanyika.
– Ni njia ya mojawapo ya kuwafanya watoto kujifahamisha mazingira yao.
– Ni mojawapo njia za kujifahamishia lugha.