Umuhimu wa insha.
Umuhimu wa insha. Insha ni muhimu sana kwa mwanafunzi. Insha si tu kuandika tu lakini pia ukumbuke unamuhimu wake. Iwe mwanafunzi au mwalimu au pia mwandishi wa kitabu, gazeti au mtangazaji, insha husaidia mtu au watu kwa njia tofauti. Umuhimu wa insha nini?, leo tutayaona na kupitia Umuhimu wa insha.

- Huleta faida tafiti kwa ujuzi.
- Huongeza maarifa kwa mtu binafsi.
- Husaidia mtu kupata kazi. mfano mwandishi.
- Insha pia husaidia mtu apate kukuza yani promotion.
- Huboresha mtu kufikiria kwa kina.
- Hufunza kutoa maoni.
- Huongeza kushawishi ujuzi.
- Huboresha ujuzi wa masiliano.
- Husaidia uwe bora sana kwa kuandika.