Umuhimu wa rununu katika jamii

Rununu ni chombo cha mawasiliano inalotumia mtandao ili kupitisha ujumbe fulani katika mtu mmoja kwa mwingine. Aidha umeletwa na teknolojia ya majuzi mbali ya kuwa kitambo watu waliishi kutumiana barua na kupea mtumwa kupeleka katika lango moja hadi nyingine.

Rununu imeendelewa sana kwa kiteknolojia ya kisasa ingawa pia hasara yake haijafikia umuhimu wake. Wanachi wamepta kuwa ni virahisi kwa kutuma ujumbe mtu akiwa mbali na mwenzake. Wanaweza kijadilia hivi na vile waelewane kwa kutumia rununu.

Baadhi ya wanachi , hufurai kutumia rununu kwani pia rununu huweza kufurahisha watu kupitia vipindi ambavyo huwa katika mtandao. Wenzetu hutumia pesa jingi kulipa mtandao ili kujifurahisha na rununu yao na kupata kuwa hawa nusuriki kuwa pesa inaisha mbali wanafurahisha na kutuliza akili zao.

Jambo lingine rununu imefungua lengo kubwa la kazi kwani, wanachi wengi hufungua kazi lao kwa mtandao na kujifadhaisha na wengineo kuandika vijana wenzetu kazi ili wasikae bure bila kuajiiriwa na kuanza kujitegemea.

Rununu imdhibitishwa kuwa imeleta teknolojia mpya ya uuzaji wa bidhaa tofauti tofauti na kuletewa nyumbani wakati ambao uko mbali na duku au karibu na nyumbani ama wakati hauna hata sekunde la kuenda adi dukani.

Hatimaye rununu imeweza kuleta maendeleo na kuyajua mazingira ya wananchi. Kwani rununu unaweza kuleta ama unaweza kumjulisha mtu maendeleo au mazingira yake yanayo mzungukia katika kutumia kwa mtandao. Watu hujua kesi na tukio mbali mbali zilizohitimia katika mazingira yao.

Simu za rununu imecheza latika lengo lake kukuwa mtumishi wa wote. Ni watu wengi wanatumia rununu ili kuwaletea faida kama vile kueka pesa zao kwa rununu na kupunguza uchunaji wa godoro na kuficha pesa mbali kuzuia panya kukula pesa kwa godoro. Watu wamepata virahisi kueka pesa zao na zingine kuzoana wakati wanpozichukua.

Simu imeleta ushindaji wa aina mingi mingi ya mchezo na pia wanachi hupenda kucheza na simu zao kwa ” kubet” katika mchezo wa kandanda. Rununu imeweza kuhitimishwa kila mali ijapokuwa kila mwanachi anataka kununua runinga ili kujifadaisha kiteknolojia.

Similar Posts