Insha ya risala
Insha ya risala na maana yake.Risala ni ujumbe au taarifa inayoandikwa na mtu au kundi ili upelekwe kwa mtu fulani kwa lengo la kutoa maoni yao au kuonyesha msimamo wao kuhusu swala fulani.
Insha ya risala na maana yake.Risala ni ujumbe au taarifa inayoandikwa na mtu au kundi ili upelekwe kwa mtu fulani kwa lengo la kutoa maoni yao au kuonyesha msimamo wao kuhusu swala fulani.
Insha ya ratiba. Ratiba ni uandishi wa jirani mambo yanavyotarajiwa kufanyika kuonyesha pia wakati shughuli fulani itakuwa inafanyika.
Insha ya kumbumbu za mkutano wa pili wa mwaka.
Insha ya kumbukumbu za mkutano wa pili wa mwaka ambapo tutajadili ajenda zifutazao usajili wa wanachama wapya kuamrisha uzungumzaji wa kiswahili shulenina kongamano la kiswahili. Tarehe 7 Januari kuanzia saa nne jioni.
Waliohudhuria.
Bw. Morris Nzomo – Mwenyekiti.
BI. Grace fahari – Naibu wa mwenyekiti.
BI. Stacey mwende – Mwekahazia.
BI. Pius mwendwa – Katibu.
BW. Dennoh musyoki – mwanakamati.
Waliotuma udhuru.
BW. John mwanzi – Mwanachama.
BW. Patricia kimkungut – Mwanachama.
BW. Peter Nzoki – Mwanachama.
Waliokosa kuhudhuria.
BW. Noah joel – Mwanachama.
BI. Alice samson – mwanachama.
Katika mahudhuria.
Prof . Dennoh victor – Afisa katika wizara ya elimu shuleni.
AJENDA.
Usajili wa wanachama wapya.
Kuamazisha uzungumuzaji la kiswahili shuleni kongamano la kiswahili.
WASILISHO KUTOKA KWA MWENYEKITI.
Mkutano ulianza saa nne kwa maombi yalioongoza na BW. Dennoh musyoki. Mwenyekiti aliwakaribisha waliohudhuria na kuwashukuru kwa bidii walionyesha.
KUMB: 7: 2021 USAJILI WA MWANACHAMA WAPYA.
Katibu aliwafahamisha wanachama kuwa tuko na usajili wa wanachama wapya ambapo wenye walikuwa walieza kuenda kwao na kusema wanachama wachaguliwe wengine.
KUMB: 8: 2021 KUAMAZISHA UZUNGUMZAJI WA KISWAHILI SHULENI.
Wanachama wanakubaliana kuwa wanafunzi wakuwe wanazungumza lugha ya kitaifa ambayo ni kiswahili kwa sababu wamezoea kuongea kiingereza mpaka wakasahau kiswahili.
KUMB: 9: 2021 KONGAMANO LA KISWAHILI.
Wanachama wanaarisha wanafunzi wasikuwe wanaongea kiswahili kila siku lakini wanaeza tegewa siku moja tu maalumu ya kuongea kiswahili.
KUFUNGA MKUTANO.
Mkutano ulifungwa kwa maombi yaliyongozwa na BW. Pius mwendwa saa tisa jioni.
THIBITISHO.
Sahihi Tarehe.
Mwenyekiti : 7 Januari 2021
Katibu : 7 Januari 2021
Siku yangu ya kwanza katika shule ya upili. Ilikuwa asubuhi ya mapema ambapo nilikuwa nikiamka, jogoo iliwika na nikaona jua liking’aa juu angani, nilijua ni siku mpya ya furaha. Nilijitayarisha kwa kuenda katika chumba cha kuoga nani ka sitaki uchafu kwa sabuni, ni toka huku ni kiwa msafi kweli kweli. Nilienda katika chumba changu na…
Mkasa wa moto kijijini. Ulikuwa usiku wa manane niliposkia usemi wa buka uliotoka kwa jirani kadri kilomita mbili kutoka nyumbani kwetu. Kweli nilikuwa katika gonezi ya ajabu kwani singeskia kitu chochote kile. Hii ilikuwa nadra sana kama maziwa ya kuku ama mizizi ya mawe. Bayana nilikuwa nimechoka kutokana na kazi niliyoifanya siku hiyo. Kwanza nilikejeli…
Nilikuwa nimekwisha kujitajarisha kwenda kulala mlango ulipobishwa, nilishtuka na kuketi sakafuni ni kwaza nani aliyekuwa alibisha mlango saa saba unusu usiku. Mtu huyo alibisha kwa nguvu huku akileta jina langu inijaribu kutambua sauti ila lakini wapi. Tulikuwa nyumbani na dada yangu na kaka yangu lakini wao walitwa washalala. Nilifikiria ni waamshe lakini sitawaamsha. Mlango uliendelea…
Insha ya harusi. Tuliamka alfajiri yamajogoo tayari kwa safari tuliyoingojea kwa siku nyingi. Tulijitayarisha kwa haraka ili tusichelewe kuenda kumlaki dada yangu katika eneo la harusi katika mbio mbio za sakafuni, tulipatana na wenzetu njiani, tulichukua gari na kuondoka. Tulikuwa karibu kuwasili eneo la harusi yenye ilikuwa katika kanisa la shauri moyo Adventist church ambayo…
Methali hii inamaanisha kuwa lazima mtu atie bidii ili apate anachotarajia. Methali hii hutumika mtu anpopanga kuwa kitu fulani au kutenda
Nyumbani ndiyo mahali pa kwanza pa elimu ambapo wazazi ndio walimu wa kwanza katika maisha ya kila mtu. Katika utotoni wetu, tunapata taswira ya kwanza ya elimu kutoka nyumbani, hasa kutoka kwa mama yetu. Wazazi wetu hutufahamisha umuhimu wa elimu bora katika maisha. Tunapofikisha umri wa miaka mitatu au minne, tunapelekwa shuleni kwa ajili ya…
Miti ni rasilimali muhimu katika maisha ya binadamu na pia mazingira. Na ni muhimu sana tuwe tunajua umhimu na faida tunayopat tukiweza kuayatunza miti zetu kayika maishani mwetu na pia imchi yetu. Juzi vingozi wa dunia walikuwa wapatane kuongelea maneno mingi kuhusu shida za kawaidia wanapitia na kutafuta suluhisho, kwa changa moto kama hizi moja…