Insha ya mazungumzo au dayolojia na maana yake.( guide)
Insha ya mazungumzo au dayolojia na maana yake.(guide).Dayolojia ni mzungumzo yanayo wahusu watu wawili au pande mbili. Zikiwa na lengo la kutatwa au kuweka wazi swala fulani. Mazungumzo hutokana na kitezi zungumza. Kilicho na maana ya kubadilishana mawazo kuhusu swala lolote. Mazungumzo hungawanya mara moja: a. Mazungumzo rasmi. b. Mazungumzo ya kawaida. Yanatokoa mahali popote wakutanapo husik….